2434; Hadithi unayojilisha na kupima…

By | August 30, 2021
2434; Hadithi unayojilisha na kupima… Kitu pekee kinachotutofautisha sisi binadamu na wanyama wengine kama mbuzi ni hadithi ambazo tunajipa. Na hadithi hizo zinatokana na ubongo wetu wa mbele, ambao ni mkubwa na umeendelezwa ukilinganisha na wa wanyama wengine. Wanyama wengine wanapokea na kuishi katika hali walizozaliwa nazo. Lakini sisi binadamu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz