MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1456; Kelele Za Nini?
Wahenga walisema debe tupu haliachi kuvuma. Wakimaanisha ya kwamba ukiona kitu kinapiga kelele basi jua kwa hakika ndani yake kuna utupu. Vitu vyote vyenye kelele havina nguvu, na vile vyenye nguvu havina kelele. Chukua mfano wa nguvu kubwa sana zilizopo hapa duniani, huwa hazina kelele, lakini huwa tunaona madhara yake,