1771; Mchezo Ambao Lazima Utapoteza…

By | November 6, 2019
Ni kuweka matarajio yako juu ya kitu chochote kile. Unapoweka matarajio fulani kwenye kitu chochote unachofanya, kwa hakika lazima utapoteza. Kwa sababu kama utapata kile ulichotarajia, ulishakitarajia tayari, hivyo hutakuwa na msukumo wa kukifurahia. Na kama hutapata kile ambacho ulitarajia, utaumia zaidi kwa sababu hujapata ulichotarajia, utakasirika, kujidharau na hata

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In