1773; Ni Kwa Ajili Yao, Siyo Wewe…

By | November 8, 2019
Kwa asili, sisi binadamu ni viumbe wabinafsi. Huwa tunaweka maslahi yetu mbele kabla ya maslahi ya watu wengine. Na hili halina ubaya wowote, kwa sababu ndiyo limetuwezesha kuendelea kuwa hai na kuzaliana. Chochote tunachofanya, huwa tunaanza kujiuliza kinatusaidia nini sisi kwanza. Au kuna manufaa gani yaliyopo kwa ajili yetu. Kujua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In