1780; Swali Siyo Kushindwa, Bali Umefanya Nini Baada Ya Kushindwa…

By | November 15, 2019
Kila mtu huwa anashindwa kwenye maisha, kwenye vitu fulani anavyofanya. Hata kama mtu ana mafanikio au mamlaka kiasi gani, kuna mambo mengi anaweza kupanga na yasitokee kama alivyopanga, licha ya kuweka kila juhudi anayopaswa kuweka. Hivyo swali la wewe siyo kujiuliza kama utashindwa au la, bali kujiuliza umefanya nini baada

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In