1794; Nani Ametoka Hapa?

By | November 29, 2019
Watu wanaweza wasikuambie, lakini tayari wameshakuweka kwenye viwango vyao wenyewe kupitia kile unachokifanya. Iwe ni kazi au biashara, wale wanaohusika na wewe moja kwa moja wameshakuweka kwenye viwango na kupitia matokeo unayotoa, mtu anaweza kujua kabisa ni wewe umefanya kitu hata kama haupo. Hivyo kuwa makini sana na kila unachofanya,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In