1797; Ukombozi Kamili Ni Kujitegemea…

By | December 2, 2019
Matumaini ni mtego ambao umetumika kuwanasa watu wengi sana. Tunajikuta tunakuwa tegemezi kwa wengine kwa matumaini hewa wanayotupa, ambapo hakuna namna matumaini hayo yanaweza kufikiwa. Wanasiasa wanatupa matumaini, kwamba tukiwachagua maisha yetu yatakuwa mazuri, kila tunachotaka tunakipata, tunawaamini na kuwategemea. Wanapopata nafasi hadithi yao inabadilika, yale matumaini waliyotupa kwamba watayafanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In