MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2903; Muda wako ndiyo umekosa thamani kiasi hicho?
2903; Muda wako ndiyo umekosa thamani kiasi hicho? Kwako rafiki yangu mpendwa ambaye umekuwa unatumia muda kuokoa fedha. Unakuwa mwangalifu sana kwenye kila unachofanya ukiangalia mianya ya fedha kupotea au gharama kubwa kubwa. Katika uangalifu wako huo, umekuwa unaishia kutumia muda wako mwingi zaidi ili kuokoa kiasi hicho cha fedha.