1803; Huo Muda Unautoa Wapi? Na Hizo Fedha Je?

By | December 8, 2019
Muda na fedha ni rasilimali mbili zenye uhaba mkubwa kwa wengi. Muulize mtu yeyote ambaye hajapiga hatua fulani ambayo amekuwa anatamani kupiga na atakujibu muda hakuna, fedha hakuna. Kwa kuangalia maisha ya kawaida, ni rahisi kukubaliana na mtu kwamba hana muda na pia fedha ni changamoto. Lakini unapoacha kuangalia juu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In