1813; Kila Mtu Anapambana Na Hali Yake…

By | December 18, 2019
Pambana na hali yako ni usemi ambao ni rahisi sana kuwaambia watu wengine, lakini huwa hatupo tayari kujiambia sisi wenyewe. Huwa tunafikiri hali zetu ni za kipekee sana hivyo lazima kila mtu ahusike nazo. Na hapo ndipo tunapojidanganya, kwa sababu kila mtu tayari anapambana na hali yake, na hakuna anayepoteza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In