1928; Hisia Zako Ndiyo Mtaji Wao…

By | April 11, 2020
Vyombo vya habari na mitandao ya kijamii vina mtaji mmoja ambao vinautegemea sana kuingiza kipato. Mtaji huo ni hisia zako wewe unayefuatilia vyombo hivyo au kutembelea mitandao hiyo. Moja ya hisia ambazo zinanufaisha sana vyombo hivi ni hofu. Vyombo hivi huwa vinachochea hofu ndani yako, inayokufanya uendelee kuvifuatilia ili ujue

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In