1937; Ujuzi Au Uwezo…

By | April 20, 2020
Kama mtu hafanyi kazi yake vizuri, inaweza kuwa ni kwa sababu ya moja kati ya haya mawili. Moja hajui jinsi ya kufanya kazi hiyo. Hivyo hapa tatizo ni ujuzi. Na ujuzi unaweza kutatuliwa kwa kumpatia mtu maarifa na mwongozo sahihi. Mbili hawezi kufanya kazi hiyo. Hivyo hapa tatizo ni uwezo.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In