#TuvukePamoja; CHAGUA KITU UTAKACHOKIFANYA KILA SIKU…

By | May 15, 2020
Katika changamoto hii ya covid 19 tunayopitia sasa, ni rahisi sana kuona mambo hayawezekani. Hilo linapelekea kukata tamaa na kukosa nguvu ya kuendelea na mapambano. Hivyo hicho ni kitu cha kwanza cha kupambana nacho, kuhakikisha kila siku unayo hamasa na nguvu kubwa ya kuendelea na mapambano, bila ya kujali matokeo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In