#TuvukePamoja; SHUKRANI.

By | May 16, 2020
Haijalishi unapitia nini, kuna kitu cha kushukuru. Unaposhukuru, unaangalia upande chanya wa maisha yako. Na kwa kuwa akili zetu hutuonesha kile tunachofikiria, Unapokuwa mtu wa shukrani, mambo mazuri zaidi yanakuja kwako. Katika kipindi hiki tunachopitia changamoto, kuwana kijitabu (diary) na kiite kitabu cha shukrani. Kisha kila siku andika yale unayoshukuru

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In