1973; Vichocheo Vitatu Kwa Watu Kuiba…

By | May 26, 2020
Kuna vitu vitatu ambavyo vimekuwa vinawachochea watu kuwa na tabia ya wizi. Hata wale ambao siyo wezi, hubadilika na kuwa na tabia hiyo pale vitu hivyo vitatu vinapokuwepo. Kwa kujua vitu hivi vitatu na kuvifanyia kazi, itakusaidia kuondoa au kukomesha tabia ya wizi kwenye eneo lolote lile. Kichocheo cha kwanza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In