#TuvukePamoja; TAFUTA ENEO LA KUHODHI.

By | May 26, 2020
Katika changamoto kubwa ya kiuchumi tunayopitia ambayo imesababishwa na mlipuko wa vizuri vya Corona, biashara nyingi zinakufa na kazi zinapotea. Wengi wanafunga biashara zao na hawatakuja kuzifungua tena, Wengi pia wanapunguzwa kazi na hawatakuja kupata kazi hizo tena. Ni hali ambayo inawashtua wengi, kwa kuwa hakuna aliyeitegemea, maana kila kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In