1976; Usichezee Matirio…

By | May 29, 2020
Kwenye ujenzi huwa kuna kauli maarufu kwamba hupaswi kuchezea au kupoteza ‘matirio’, yaani rasilimali zote zinazotumika kwenye ujenzi. Usipokuwa na mipangilio mizuri kwenye ujenzi, unaweza kukuta umetumia vibaya rasilimali na hujafikia lengo. Kauli hii inaweza kutusaidia sana kwenye maisha na safari yetu ya mafanikio. Maisha huwa yanakupa rasilimali mbalimbali, lakini

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz