2056; Linda Uhuru Wako Wa Mbeleni…

By | August 17, 2020
Kuna vitu unaweza kufanya sasa na usione madhara yake, lakini baadaye vinakuja kuwa kikwazo kikubwa kwako. Hivyo kwa kila unachotaka kufanya, angalia kwanza mbeleni kitakuathiri kiasi gani, angalia miaka 10, 20 mpaka 50 ijayo kisha ona kitakuwa na athari gani. Mambo mengi yanayokukwamisha sasa, ni matokeo ya kile ulichofanya kipindi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In