2057; Vigezo Vitano Vya Kuzingatia Kwenye Kazi Au Biashara Unayotaka Kufanya Kwa Muda Mrefu…

By | August 18, 2020
Kuna biashara au kazi ambazo mtu unaweza kufanya kwa muda mfupi, ndani ya mwaka mmoja na kuachana nayo kwenda kwenye biashara nyingine. Biashara za aina hiyo huwa hazihitaji vigezo vingi, hapo unaangalia tu faida unayokwenda kupata. Halafu kuna biashara au kazi ambazo mtu unataka kufanya kwa muda mrefu, unapanga kufanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In