2061; Umuhimu, Usahihi Na Ufanisi…

By | August 22, 2020
Kwa kuwa mambo ya kufanya ni mengi na yanazidi kuongezeka kila siku, huku muda wa siku ukibaki kuwa ule ule, unahitaji kuwa na njia sahihi ya kuweka vipaumbele vyako ili uweze kutumia muda mfupi ulionao vizuri. Watu wamekuwa wanakosea kwa kufikiri njia sahihi ni kukazana kufanya mambo mengi kwa wakati

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz