2259; Linda Juhudi Unazoweka Sasa Unufaike Nazo Baadaye…

By | March 8, 2021
Asili ina kanuni zake nyingi, huwezi kupanda mbegu na kuivuna hapo hapo ukaila. Lazima uwe na subira, lazima uipe mbegu hiyo muda, ikue, izae mbegu nyingi zaidi ndipo uvune na kuweza kula. Sasa pata picha umekuwa unaona shamba liko mahali, lina rutuba nzuri na hakuna anayelilima. Unaona unaweza kutumia shamba

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In