2365; Ingekuwa rahisi, kila mtu angefanya…

By | June 22, 2021
2365; Ingekuwa rahisi, kila mtu angefanya… Kama inanibidi nifanye maamuzi ya haraka kwenye kitu ambacho sina taarifa za kutosha, huwa ninaangalia aina ya watu wanaokubaliana na kitu hicho au kukipigia debe. Nikiona watu wengi wanakubaliana nacho na kukisifia, naweza kuwa na uhakika kwamba kitu hicho siyo bora na kinachoweza kumfikisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In