#SheriaYaLeo (163/366); Mwondoe mwenye ushawishi.

By | April 12, 2022
#SheriaYaLeo (163/366); Mwondoe mwenye ushawishi. Kwenye kundi lolote lile huwa kuna mtu mmoja mwenye ushawishi mkubwa na ambaye wengine wote wanamsikiliza. Na hata kunapokuwa na matatizo, chanzo chake kikuu huwa ni mtu mmoja mwenye ushawishi. Pale anapokuwa hajaridhika kwa namna fulani anakuwa tayari kusambaza hilo kwa wengine na kuwa chanzo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In