2665; Unahitaji watu wa kukusukuma.

By | April 18, 2022
2665; Unahitaji watu wa kukusukuma. Pamoja na magumu na changamoto mbalimbali za dunia, bado asili ya binadamu huwa ina nguvu sana. Kwa mfano, ni asili yetu binadamu kuridhika na kile ambacho tayari tumeshakipata. Pamoja na kwamba dunia inabadilika na chochote kinachoturidhisha sasa hakiwezi kuturidhisha kesho, bado hatuwezi kulivuka hilo peke

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In