#SheriaYaLeo (169/366); Tumia mwonekano kushawishi.

By | April 18, 2022
#SheriaYaLeo (169/366); Tumia mwonekano kushawishi. Watu huwa wanashawishika sana na mwonekano wa vitu ulivyo. Vitu kama rangi, muundo na mpangilio wa vitu vina nguvu ya kuwashawishi watu kwa namna fulani. Kwa mfano matumizi ya rangi nyekundu kwenye maandishi yanawafanya watu waone kitu ni muhimu na cha haraka hivyo kushawishika kuchukua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz