#SheriaYaLeo (178/366); Kamwe usifanye kwa mazoea.

By | April 27, 2022
#SheriaYaLeo (178/366); Kamwe usifanye kwa mazoea. Unapokuwa kijana huwa ni rahisi kuchukua hatua za tofauti. Japo zinaweza kuwa hatari, lakini ndiyo zinazoleta matokeo makubwa na ya tofauti. Lakini kadiri umri unavyokwenda, unaanza kufanya zaidi kwa mazoea badala ya kujaribu vitu vipya. Kutokana na umri kwenda, unaepuka hatua ambazo ni hatari

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In