2677; Kutenganishwa na fedha zako.

By | April 30, 2022
2677; Kutenganishwa na fedha zako. Jana mtu wa karibu sana alinipigia simu akinieleza ametapeliwa kiasi fulani cha fedha alichokuwa nacho. Ni wiki moja kabla alinipigia simu akinieleza kiasi cha fedha alichopata na akiwa hana uhakika afanye nini. Ushauri wangu kwake ulikuwa rahisi, nilimwambia hiyo fedha asikimbilie kuitumia kwa namna yoyote

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In