#SheriaYaLeo (181/366); Iga Maadili Yao.

By | April 30, 2022
#SheriaYaLeo (181/366); Iga Maadili Yao. Kufikiri na kusema kile unachotaka kusema kwa watu wote ni kukitafutia matatizo yasiyo na manufaa. Watu wenye hekima wanajua kwamba wanapaswa kuonyesha tabia zinazoendana na wale wanaowazunguka. Wanajua siyo lazima waamini kwenye mambo hayo. Manufaa wanayopata ni kwa kufanya kile ambacho wengine wanafanya kwa nje,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In