2676; Dawa ya njia za mkato.

By | April 29, 2022
2676; Dawa ya njia za mkato. Hebu fikiria wimbo mzuri sana ambao unapenda kuusikiliza, Je utakuwa tayari kuuharakisha ili ufike mwisho? Jibu ni hapana, uzuri wa wimbo siyo kuumaliza, bali kuusikiliza. Kadhalika kwenye vitu vingine kama muvi, michezo na hata vitabu. Kama kitu unakipenda, hutaki kiishe haraka. Hata kwenye chakula

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In