2696; Ukilinganisha na nini?

By | May 19, 2022
2696; Ukilinganisha na nini? Utawasikia watu wakisema, maisha ni magumu. Na hapo unaweza kujiuliza ukilinganisha na nini? Je maisha ni magumu ukilinganisha na kifo? Au maisha ni magumu ukilinganisha na maumivu makali mtu unayopata ukiwa unaumwa? Kama upo hai na huna maradhi yanayokuumiza kila wakati, maisha siyo magumu kama unavyojiambia.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz