#SheriaYaLeo (207/366); Cheza na utata.

By | May 26, 2022
#SheriaYaLeo (207/366); Cheza na utata. Kunasa umakini wa watu na kuwafanya wakufuatilie, unapaswa kuonyesha sifa ambazo ni kinyume na mwonekano wako. Unapaswa kutengeneza hali ya utata ambao unafanya watu washindwe kukuelewa. Sisi binadamu huwa hatuwezi kutulia pale ambapo hatujakielewa kitu. Huwa tunakifuatilia mpaka tukijue na kukielewa kwa undani. Pale unapoonyesha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In