2705; Imani na matendo.

By | May 28, 2022
2705; Imani na matendo. Imani na matendo ni vitu vinavyokwenda pamoja. Ni mapacha ambao hawawezi kutenganishwa. Ili uweze kufanya makubwa zaidi kwenye maisha yako, ni vitu viwili unavyohitaji kwa pamoja. Imani bila matendo ni mfu, hakuna chochote kitakachotokea kwa kuamini tu. Lazima mtu uchukue hatua kwenye kile unachoamini. Matendo bila

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz