#SheriaYaLeo (210/366); Tumia lugha ya picha.

By | May 29, 2022
#SheriaYaLeo (210/366); Tumia lugha ya picha. Kuwasiliana na watu kwa njia ya kawaida, ambapo unatumia maneno pekee huwezi kuwa na ushawishi mkubwa. Hiyo ni kwa sababu watu huwa wanayasahau maneno haraka. Lakini unapowasiliana na watu kwa kutumia lugha ya picha, unakuwa na ushawishi mkubwa zaidi. Hiyo ni kwa sababu watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz