#SheriaYaLeo (234/366); Mhamasishaji mkuu.

By | June 22, 2022
#SheriaYaLeo (234/366); Mhamasishaji mkuu. Watu wengi huwa wanapenda kuhamasisha kwa kutumia maneno. Lakini maneno pekee huwa hayana nguvu ya ushawishi. Na pia huwa yanasahaulika haraka. Kama unataka kuwa na ushawishi mkubwa kwa wengine, kuna mambo mawili muhimu unapaswa kuyazingatia. La kwanza ni kuonyesha kwa vitendo. Watu wanaelewa, kuhamasika na kukumbuka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In