MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2745; Atatenganishwa na fedha zake.
2745; Atatenganishwa na fedha zake. Mteja yeyote yule, huwa anakutana na watu wa mauzo ambao hufanikiwa kumtenganisha na fedha zake. Mteja akiwa na fedha, kuna namna ambavyo atashawishika na watu wa mauzo na kununua vitu ambavyo hata hakuwa na uhitaji navyo. Ndiyo maana wengi wakiwa hawana fedha wanakuwa na mawazo