#SheriaYaLeo (271/366); Jipe nafasi ya kubadilika.

By | July 29, 2022
#SheriaYaLeo (271/366); Jipe nafasi ya kubadilika. Mradi wowote unaofanya, uwe ni sanaa, kazi au biashara ni sawa na kupigana vita. Lazima uwe na mkakati wa jinsi unavyokabili tatizo, kupangilia kazi yako na kukabiliana na tofauti ya matokeo na mategemeo. Watu wengi huwa wanaanza na wazo zuri, lakini katika kuweka mipango

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz