#SheriaYaLeo (275/366); Sheria ya msingi ya asili ya binadamu.

By | August 2, 2022
#SheriaYaLeo (275/366); Sheria ya msingi ya asili ya binadamu. Sisi binadamu wote huwa tuna asili ya aina moja. Kwa ujumla sisi binadamu wote ni viumbe wa kihisia, ambao huwa tunafanya maamuzi yetu kwa kusukumwa na hisia. Lakini sheria ya msingi kabisa ya asili ya binadamu imekuwa ni kukataa asili yake.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In