2777; Maji hufuata mkondo wake.

By | August 8, 2022
2777; Maji hufuata mkondo wake. Hii ni kauli rahisi sana ya Waswahili, lakini iliyobeba ujumbe mzito sana. Ni ujumbe ambao ukiweza kuuelewa utajitenganisha kabisa na mambo yanayokuzuia kufanikiwa. Kwenye kitabu cha The Richest Man In Babylon ipo hadithi ya bwana mmoja ambaye hakuwa makini na matumizi ya fedha zake. Alijikuta

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In