2792; Umewafundisha?

By | August 23, 2022
2792; Umewafundisha? Kama watu hawafanyi kitu, kuna sababu mbili tu; HAWAWEZI au HAWATAKI. Wanakuwa hawawezi pale wanapokuwa hawajui jinsi ya kufanya kitu hicho. Hilo linakuwa gumu kwao kufanya. Na mbaya zaidi, watu huwa hawapendi kukiri kwamba hawajui. Hivyo hujifanya wanajua, lakini kutokujua kwao kunakuwa kikwazo kwenye ufanyaji. Hapo hujaweka hali

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In