2795; Usifanye kazi, bali cheza.

By | August 26, 2022
2795; Usifanye kazi, bali cheza. Elon Musk, mtu tajiri kuliko wote duniani kwenye zama hizi, anafanya kazi kwa juhudi kuliko watu wengine wote. Pamoja na utajiri mkubwa alionao, ambao hata akiamua alale kila siku au hata kufanya kila aina ya starehe hawezi kuumaliza, bado kazi ni kipaumbele kikubwa kwake. Bado

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In