#SheriaYaLeo (300/366); Kataa maelezo rahisi.

By | August 27, 2022
#SheriaYaLeo (300/366); Kataa maelezo rahisi. Sisi binadamu huwa tuna ukomo fulani kwenye uwezo wetu wa kufikiri ambao ndiyo chanzo cha matatizo mengi tunayokutana nayo. Tunapofikiria kuhusu watu au kitu ambacho kimetokea, huwa tunakimbilia kwenye maelezo rahisi kwetu kuelewa. Huwa tunakimbilia kwenye kuangalia kama mtu au kitu ni kizuri au kibaya,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In