#SheriaYaLeo (299/366); Chunguza mizizi ya hisia zako.

By | August 26, 2022
#SheriaYaLeo (299/366); Chunguza mizizi ya hisia zako. Kila hisia unazokuwa nazo, huwa zinakuwa na mizizi yake ambayo huwa haionekani wazi. Ni mpaka uchunguze kwa kina ndiyo utaweza kujua chanzo halisi cha hisia unazokuwa nazo. Kwa mfano umepatwa na hasira, unapaswa kuacha hisia hizo zitulie, kisha kuchunguza nini kimezisababisha. Kama zimesababishwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In