#SheriaYaLeo (309/366); Tumia wivu kama kichocheo cha mafanikio.

By | September 5, 2022
#SheriaYaLeo (309/366); Tumia wivu kama kichocheo cha mafanikio. Pale unapokutana na watu wengine ambao wamepiga hatua kuliko wewe, kuna hali ya wivu huwa inakuingia. Unaweza kuingiwa na hisia za kutaka kumuumiza au kumwibia. Lakini hupaswi kujiruhusu kushuka chini kiasi hicho. Badala yake pata tamaa ya kutaka kufanikiwa kama wao. Pale

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In