2804; Hakuna kushindwa.

By | September 4, 2022
2804; Hakuna kushindwa. Watu wengi hudhani pale wanapokutana na changamoto na vikwazo mbalimbali basi wameshindwa. Kwenye safari ya mafanikio, kushindwa ni pale unapokuwa umekata tamaa na kuacha kufanya. Hapo ndiyo unakuwa umeshindwa kwa sababu kama umeacha kufanya, umeondoa nafasi zote za kuweza kupata matokeo mazuri. Lakini kama unaendelea kufanya licha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In