2805; Kujifunza na kazi.

By | September 5, 2022
2805; Kujifunza na kazi. Kama mtu yeyote akiniuliza ni vitu gani afanye ambavyo vitampa mafanikio kwa uhakika, bila ya kusita hata sekunde moja nitamjibu kujifunza na kazi. Kujifunza kwa kina na endelevu kwenye kile ambacho mtu unafanya ni hitaji muhimu sana ili kufanikiwa. Unapaswa kukijua kweli chochote unachofanya, maana hivyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz