#SheriaYaLeo (310/366); Jijue wewe mwenyewe kiundani.

By | September 6, 2022
#SheriaYaLeo (310/366); Jijue wewe mwenyewe kiundani. Unaendeshwa na hisia pale unapokuwa hujitambui wewe mwenyewe. Pale unapojitambua, hisia zinakosa nguvu ya kukutawala. Unaweza kuzidhibiti na kuzuia zisiwe kikwazo kwako. Hivyo hatua ya kwanza unayopaswa kuchukua ili kuwa mtu wa mantiki na busara ni kujitambua wewe mwenyewe. Unapaswa kujikamata pale hisia zinapokuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz