#SheriaYaLeo (311/366); Nani alaumiwe?

By | September 7, 2022
#SheriaYaLeo (311/366); Nani alaumiwe? Pale mambo yanapokwenda vibaya, ni asili ya binadamu kutafuta mtu wa kumlaumu. Tunaamini watu wengine ndiyo waliosababisha mambo hayo kwenda vibaya. Waache wengine wahangaike na huo ujinga, wakiongozwa na pua zao, wakiona kile tu kinachoonekana na macho. Wewe unaona vitu kwa utofauti. Pale mambo yanapokwenda vibaya,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz