2807; Unahangaika na mambo mengi sana.

By | September 7, 2022
2807; Unahangaika na mambo mengi sana. Mwanga wa jua, ukitawanyika, unaishia kuangaza tu. Lakini mwanga huo huo ukikusanywa sehemu moja, unakuwa na nguvu ya kuchoma. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye nguvu zetu binafsi, tukizitawanya kwenye mambo mengi, tunaishia kupata matokeo ya kawaida. Lakini tukikusanya nguvu hizo kwenye jambo moja au

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In