2808; Kujua hujui.

By | September 8, 2022
2808; Kujua hujui. Kujua hujui ndiyo ujuzi muhimu ambao utakusaidia sana kwenye maisha yako. Utakufanya uwe mnyenyekevu na tayari kujifunza ili kuwa bora zaidi na kuweza kupiga hatua kubwa. Na hili siyo rahisi kukubali na hata kulifanya. Huwa tuna ufahari wa kutaka kuwaonyesha wengine kwamba tunajua. Huwa tunaona kuonekana hatujui

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In