#SheriaYaLeo (312/366); Furahia mafanikio ya wengine.

By | September 8, 2022
#SheriaYaLeo (312/366); Furahia mafanikio ya wengine. Ni rahisi kwetu binadamu kupata wivu pale wengine wanapofanikiwa kuliko sisi. Na pale watu hao tunaowaonea wivu wanapopatwa na matatizo, huwa tunafurahia. Tunafurahia kuwaona wakiwa kwenye matatizo na maumivu mbalimbali. Lakini hilo halina faida yoyote kwetu, zaidi tu ya kutufanya tushindwe kufanikiwa kama watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In